Dr Dre
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 2,664
- 2,810
Habari wakuu,
Nimewahi kuagiza simu kupita aliexpress lakini sikufanikiwa baada ya wahuni kuamua kupita nayo,niliwauliza posta wakadai imeibiwa ilipofika airport,haikua tabu coz nilirudishiwa hela yangu na aliexpess.
Sasa wakuu mnisaidie jamani maana kama mnavyojua cm nje bei chee,apa nataka niagize tenaa ila kigugumizi cha kuibiwa tena kinanikwamisha ,naombeni mawazo yenu jamani kama kuna option nyingine safe zaidi ya hii ya kuagiza kawaida kupitia posta mnisaidie.