Msaada wa kuagiza vitu kutoka nje

Mimi kuna wakati hua naagiza kupitia Kikuu,mzigo unafika nyakati zote ila shida yao ni ucheleweshaji na njia wanayotumia wao ni kupitia mawakala wao na sio posta kwahiyo nahisi hii ni salama zaidi,ila kwa Ebay na Aliexpress wao wanatumia EMS kwahiyo hapa huwezi kuwakwepa wafanyakazi wa Posta...
 
kikuu sijawahi tumia hii
 
Vitu kama Simu ni vizur ukatumia ma agent walioko china wakusaidie kusafirisha, Posta siyo Relailble sana kwa vitu Kama hivi.Wapo agent weng sana wanasafirisha simu kutoka china kuleta hapa hasa k.koo
 
Nimeagiza 2016,2017,2018 now 2019 cjawahi kuibiwa....Mingine inafika this January.Wafanyakazi wa poster washanizoea kwakwel na huu 2019 ni more order japo Alibaba nitamchek tena for bulk price

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duuh mi basi ilinitokea ahati mba tu ngoja nijaribu tena

duuh basi mi ilinitokea bahati mbaya tu ,ngoja nijaribu tena
 
Hawa kikuu mkuu Simu wanauza pia? Huwa nikicheki ni km baadhi ya vitu hawana au mimi ndio nashindwa kusearch?
 
Hawa kikuu mkuu Simu wanauza pia? Huwa nikicheki ni km baadhi ya vitu hawana au mimi ndio nashindwa kusearch?
Hawana simu hawa,na siku hizi wamekuwa ovyo sana,vitu vinachelewa kufika na mawakala wao hawapokei simu,nimehamia Ebay wanafanya vizuri sana..
 
Hawana simu hawa,na siku hizi wamekuwa ovyo sana,vitu vinachelewa kufika na mawakala wao hawapokei simu,nimehamia Ebay wanafanya vizuri sana..
e bay inaonekana wako poa, kwa njia ya EMS makato yako vipi hapo? maana Kuna saa nyingine unanua product afu inakuwepo na shipping cost hata kama ni bei ndogo...ninavyojua ili ufanye process ya kuagiza na kupata product lazima uwe na account benki inayotumia master card au ukiwa na Visa card siyo mbaya alafu utaagiza sasa bidhaa na salio kwenye account litakatwa... Ila bado sijafahamu gharama za makato ya kodi..
 
Gharama ni ndogo sana pale posta,mf mimi niliagiza kitu chenye thamani ya 60,000/-nimepokea last week,kimetumia exactly 1 month, nikalipa posta sh.1,500...
 
Okay
Gharama ni ndogo sana pale posta,mf mimi niliagiza kitu chenye thamani ya 60,000/-nimepokea last week,kimetumia exactly 1 month, nikalipa posta sh.1,500...
Basi cost ni cheaper mkuu,
 
Gharama ni ndogo sana pale posta,mf mimi niliagiza kitu chenye thamani ya 60,000/-nimepokea last week,kimetumia exactly 1 month, nikalipa posta sh.1,500...
naomba namba zako mkuu kuna mambo unielekeźe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…