Msaada wa kuagiza vitu kutoka nje

Msaada wa kuagiza vitu kutoka nje

Mimi kuna wakati hua naagiza kupitia Kikuu,mzigo unafika nyakati zote ila shida yao ni ucheleweshaji na njia wanayotumia wao ni kupitia mawakala wao na sio posta kwahiyo nahisi hii ni salama zaidi,ila kwa Ebay na Aliexpress wao wanatumia EMS kwahiyo hapa huwezi kuwakwepa wafanyakazi wa Posta...
 
kikuu sijawahi tumia hii
 
habari wakuu
nimewahi kuagiza simu kupita aliexpress lakini sikufanikiwa baada ya wahuni kuamua kupita nayo,niliwauliza posta wakadai imeibiwa ilipofika airport,haikua tabu coz nilirudishiwa hela yangu na aliexpess.
sasa wakuu mnisaidie jamani maana kama mnavyojua cm nje bei chee,apa nataka niagize tenaa ila kigugumizi cha kuibiwa tena kinanikwamisha ,naombeni mawazo yenu jamani kama kuna option nyingine safe zaidi ya hii ya kuagiza kawaida kupitia posta mniaidie
Vitu kama Simu ni vizur ukatumia ma agent walioko china wakusaidie kusafirisha, Posta siyo Relailble sana kwa vitu Kama hivi.Wapo agent weng sana wanasafirisha simu kutoka china kuleta hapa hasa k.koo
 
Nimeagiza 2016,2017,2018 now 2019 cjawahi kuibiwa....Mingine inafika this January.Wafanyakazi wa poster washanizoea kwakwel na huu 2019 ni more order japo Alibaba nitamchek tena for bulk price
Screenshot_20190110-145215.jpeg
Screenshot_20190110-145606.jpeg
Screenshot_20190110-145734.jpeg
Screenshot_20190110-145745.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeagiza 2016,2017,2018 now 2019 cjawahi kuibiwa....Mingine inafika this January.Wafanyakazi wa poster washanizoea kwakwel na huu 2019 ni more order japo Alibaba nitamchek tena for bulk priceView attachment 991000View attachment 991001View attachment 991002View attachment 991003

Sent using Jamii Forums mobile app
duuh mi basi ilinitokea ahati mba tu ngoja nijaribu tena

Nimeagiza 2016,2017,2018 now 2019 cjawahi kuibiwa....Mingine inafika this January.Wafanyakazi wa poster washanizoea kwakwel na huu 2019 ni more order japo Alibaba nitamchek tena for bulk priceView attachment 991000View attachment 991001View attachment 991002View attachment 991003

Sent using Jamii Forums mobile app
duuh basi mi ilinitokea bahati mbaya tu ,ngoja nijaribu tena
 
Mimi kuna wakati hua naagiza kupitia Kikuu,mzigo unafika nyakati zote ila shida yao ni ucheleweshaji na njia wanayotumia wao ni kupitia mawakala wao na sio posta kwahiyo nahisi hii ni salama zaidi,ila kwa Ebay na Aliexpress wao wanatumia EMS kwahiyo hapa huwezi kuwakwepa wafanyakazi wa Posta...
Hawa kikuu mkuu Simu wanauza pia? Huwa nikicheki ni km baadhi ya vitu hawana au mimi ndio nashindwa kusearch?
 
Hawana simu hawa,na siku hizi wamekuwa ovyo sana,vitu vinachelewa kufika na mawakala wao hawapokei simu,nimehamia Ebay wanafanya vizuri sana..
 
e bay inaonekana wako poa, kwa njia ya EMS makato yako vipi hapo? maana Kuna saa nyingine unanua product afu inakuwepo na shipping cost hata kama ni bei ndogo...ninavyojua ili ufanye process ya kuagiza na kupata product lazima uwe na account benki inayotumia master card au ukiwa na Visa card siyo mbaya alafu utaagiza sasa bidhaa na salio kwenye account litakatwa... Ila bado sijafahamu gharama za makato ya kodi..
 
Gharama ni ndogo sana pale posta,mf mimi niliagiza kitu chenye thamani ya 60,000/-nimepokea last week,kimetumia exactly 1 month, nikalipa posta sh.1,500...
 
naomba namba zako mkuu kuna mambo unielekeźe
 
Back
Top Bottom