Msaada wa kuchagua bank

Msaada wa kuchagua bank

dranx

Senior Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
190
Reaction score
84
Habari zenu wadau.

Kwa wale wazoefu wa online payment naombeni msaada bank gani ni nzuri kufungua Visa card ili kufanya malipo online?
 
Equity ndo nzuri maana unaweza hamisha pesa to skrill chap na ni master card pia,skrill ndo njia ya chap kama unafanya miamala na ayo malipo wanaruhusu kupokea kwa skril au paypal.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom