mkubwa nadhani ungejaribu kwanza kuangalia vizuri humu humu JF kuna post nyingi tu ambazo zinazungumzia mambo ya modem na jibu la tatizo lako ungepata,lakini sio vibaya pia kama nitajaribu kukusaidia,kama unatumia modem za vodafone manufacture wake ni ZTE,chakufanya ni ku download dashboard ya zte ambayo utakuwa unaitumia badala ya kutumia vodafone mobile connect ambayo inasupport line za vodacom tu,so hii dashboard ya zte ina support line zote.
zSHARE - ZTE Join Air-1.0.rar - Free File Hosting Service | Audio and Video Sharing | Image Uploading | Web storage
Mkuu nimedownload zte dashboard na kufanya installation imeweka a blue icon yenye words join air but nikiconnect inaniambia device not connected,wakati nikifungua kwa icon ya vodafone inafunguka, nifanyeje?
Once the connection manager software (Join Air) is installed follow the steps below.
- Select Settings
- Select Connection > Add > Add RAS Config
- ‘Config name' enter any name e.g. Vodafone Profile
- ‘Dial Number' *99#
- Select ‘Use the following APN name'
- then enter internet
- User Name: ''no need
- Password: 'no need
- Click Save
- Highlight the profile you want to use and click Apply
- Close the settings window
- now connect
mkuu kama nataka kuhamia line nyingine hapo kwenye settings kunabadilika kitu gani? apart from profile name

feedback ni muhimu na gonga hata thanks ukipenda
Mkuu na wadau wengine, katika jukwaa hili zipo posts nyingi sana zimeelezea hii kitu so kama mnaweza jaribuni kutafuta hizo threads naamini zimejibu maswali yenu mengi tuu.Once the connection manager software (Join Air) is installed follow the steps below.
- Select Settings
- Select Connection > Add > Add RAS Config
- ‘Config name' enter any name e.g. Vodafone Profile
- ‘Dial Number' *99#
- Select ‘Use the following APN name'
- then enter internet
- User Name: ''no need
- Password: 'no need
- Click Save
- Highlight the profile you want to use and click Apply
- Close the settings window
- now connect
mkuu kama nataka kuhamia line nyingine hapo kwenye settings kunabadilika kitu gani? apart from profile name
Mkuu na wadau wengine, katika jukwaa hili zipo posts nyingi sana zimeelezea hii kitu so kama mnaweza jaribuni kutafuta hizo threads naamini zimejibu maswali yenu mengi tuu.
Mkuu..
Sasa kama ww unazijua hizo thread si utusaidia ku post links zake hapa kufupisha mada? !!!
Sisi hatujaziona ndo maana tunauliuza we ain't asking for fun 🙁
Kwanini uchakachue,nenda Tigo modem bei pooa Tsh 30,000 tu na mambo yanakuwa Mswano,ingawa Tigo haina speed kubwa kama Zantel lakini inajitahidi na nimeipenda haina usumbufu kama wa Zantel wa eti sijui upige simu kwa wiki kwa kununua muda wa maongezi wa 5000.Kuanzia nimenunua modem ya Tigo ,Zantel nimeipeleka jumba la MakumbushoHabari za shughuli wadau!
Ninahitaji kujua procedure ninazoweka kufuata ili kuweza kutumia modem moja kwa line tofauti. Mfano kwa sasa ninatumia modem ya vodafone yenye line ya voda, sasa nahitaji kutumia modem hiyo hiyo kwa line ya air tel, tigo na zantel, je inawezekana?kama ndio procedure ni zipi?
Ahsanteni!
Once the connection manager software (Join Air) is installed follow the steps below.
- Select Settings
- Select Connection > Add > Add RAS Config
- Config name enter any name e.g. Vodafone Profile
- Dial Number *99#
- Select Use the following APN name
- then enter internet
- User Name: no need
- Password: no need
- Click Save
- Highlight the profile you want to use and click Apply
- Close the settings window
- now connect
feedback ni muhimu na gonga hata thanks ukipenda
mkuu kwenye connect kuna add ila add ras halionekani,nifanyeje?
Once the connection manager software (Join Air) is installed follow the steps below.
- Select Settings
- Select Connection > Add > Add RAS Config
- ‘Config name' enter any name e.g. Vodafone Profile
- ‘Dial Number' *99#
- Select ‘Use the following APN name'
- then enter internet
- User Name: ''no need
- Password: 'no need
- Click Save
- Highlight the profile you want to use and click Apply
- Close the settings window
- now connect
mkuu kama nataka kuhamia line nyingine hapo kwenye settings kunabadilika kitu gani? apart from profile name
baada ya kuweka hizo settings huna haja ya kubadilisha chochote,kwa line za vodacom na airtel,tigo na zantel sina uhakika kwasababu sijawahi kujaribu,so yoyote mwenye ujuzi atuambie!
Samahani mkuu..
Hizi setting zina intersect pia kwa modem ya HUAWEI - Zantel internet?
Tafazali usichoke kusaidia... natumai hutonipuuza kujibu mapema..
unaweza kutupa link za kupata hizo program?Kuna thread inazungumzia namna ya kuchakachua modem za tigo hiyp ina-apply kwa modem zote mie nimechakachua za tigo, airtel na voda with the same program and it worked. kuna program ya universal code writer and universal master code zinafanya vzr tafuta hapahapa hiyo thread ina maelekezo ya kutosha
unaweza kutupa link za kupata hizo program?
nashukuru kwa link,nimeshapata,pia nilikuwa naomba unitajie model ya modem hiyo ya tigo mkuu mfano HUAWEI E1550 ,what i know ni kwamba ni za huawei,but cjabahatika kupata hata moja ili nisome model no yake,!
Kwanini uchakachue,nenda Tigo modem bei pooa Tsh 30,000 tu na mambo yanakuwa Mswano,ingawa Tigo haina speed kubwa kama Zantel lakini inajitahidi na nimeipenda haina usumbufu kama wa Zantel wa eti sijui upige simu kwa wiki kwa kununua muda wa maongezi wa 5000.Kuanzia nimenunua modem ya Tigo ,Zantel nimeipeleka jumba la Makumbusho