Msaada wa kuchakachua modem

Msaada wa kuchakachua modem

Hiphop

Member
Joined
Jul 17, 2010
Posts
51
Reaction score
7
Habari za shughuli wadau!
Ninahitaji kujua procedure ninazoweka kufuata ili kuweza kutumia modem moja kwa line tofauti. Mfano kwa sasa ninatumia modem ya vodafone yenye line ya voda, sasa nahitaji kutumia modem hiyo hiyo kwa line ya air tel, tigo na zantel, je inawezekana?kama ndio procedure ni zipi?
Ahsanteni!
 
Taja model ya modem na IMEI number yake, tuichakachue fwasta.
 
mkubwa nadhani ungejaribu kwanza kuangalia vizuri humu humu JF kuna post nyingi tu ambazo zinazungumzia mambo ya modem na jibu la tatizo lako ungepata,lakini sio vibaya pia kama nitajaribu kukusaidia,kama unatumia modem za vodafone manufacture wake ni ZTE,chakufanya ni ku download dashboard ya zte ambayo utakuwa unaitumia badala ya kutumia vodafone mobile connect ambayo inasupport line za vodacom tu,so hii dashboard ya zte ina support line zote.

zSHARE - ZTE Join Air-1.0.rar - Free File Hosting Service | Audio and Video Sharing | Image Uploading | Web storage
 
Mkuu nimedownload zte dashboard na kufanya installation imeweka a blue icon yenye words join air but nikiconnect inaniambia device not connected,wakati nikifungua kwa icon ya vodafone inafunguka, nifanyeje?

Once the connection manager software (Join Air) is installed follow the steps below.
  1. Select Settings
  2. Select Connection > Add > Add RAS Config
  3. ‘Config name' enter any name e.g. Vodafone Profile
  4. ‘Dial Number' *99#
  5. Select ‘Use the following APN name'
  6. then enter internet
  7. User Name: ''no need
  8. Password: 'no need
  9. Click Save
  10. Highlight the profile you want to use and click Apply
  11. Close the settings window
  12. now connect

feedback ni muhimu na gonga hata thanks ukipenda
 
mkuu kama nataka kuhamia line nyingine hapo kwenye settings kunabadilika kitu gani? apart from profile name
 
Samahani mkuu..
Hizi setting zina intersect pia kwa modem ya HUAWEI - Zantel internet?

Tafazali usichoke kusaidia... natumai hutonipuuza kujibu mapema..
 
Mkuu na wadau wengine, katika jukwaa hili zipo posts nyingi sana zimeelezea hii kitu so kama mnaweza jaribuni kutafuta hizo threads naamini zimejibu maswali yenu mengi tuu.
 
Mkuu..
Sasa kama ww unazijua hizo thread si utusaidia ku post links zake hapa kufupisha mada? !!!

Sisi hatujaziona ndo maana tunauliuza we ain't asking for fun 🙁
 
Habari za shughuli wadau!
Ninahitaji kujua procedure ninazoweka kufuata ili kuweza kutumia modem moja kwa line tofauti. Mfano kwa sasa ninatumia modem ya vodafone yenye line ya voda, sasa nahitaji kutumia modem hiyo hiyo kwa line ya air tel, tigo na zantel, je inawezekana?kama ndio procedure ni zipi?
Ahsanteni!
Kwanini uchakachue,nenda Tigo modem bei pooa Tsh 30,000 tu na mambo yanakuwa Mswano,ingawa Tigo haina speed kubwa kama Zantel lakini inajitahidi na nimeipenda haina usumbufu kama wa Zantel wa eti sijui upige simu kwa wiki kwa kununua muda wa maongezi wa 5000.Kuanzia nimenunua modem ya Tigo ,Zantel nimeipeleka jumba la Makumbusho
 
Once the connection manager software (Join Air) is installed follow the steps below.
  1. Select Settings
  2. Select Connection > Add > Add RAS Config
  3. ‘Config name’ enter any name e.g. Vodafone Profile
  4. ‘Dial Number’ *99#
  5. Select ‘Use the following APN name’
  6. then enter internet
  7. User Name: ‘’no need
  8. Password: ‘no need
  9. Click Save
  10. Highlight the profile you want to use and click Apply
  11. Close the settings window
  12. now connect

feedback ni muhimu na gonga hata thanks ukipenda

mkuu kwenye connect kuna add ila add ras halionekani,nifanyeje?
 
bonyeza katika ADD,then zitakuja options mbili,
1.Add RAS config na
2.Add NDIS config
chagua no.1 then endelea na hizo step nyingine
 
nakubaliana na wewe mkubwa,ni kweli zipo post ambazo zinaelezea mambo ya modem n.k,lakini nilijaribu kutafuta sikiona but now nimeipata so wote wenye matatizo yao wanaweza ku post kule na watapewa msaada pia,kuna watu kama dr.phone na calvin power mchango wao ni mkubwa sana,so kama kuna uwezekano wa post hii kufutwa au kuonganishwa na ile bac sioni tatizo.

link +https://www.jamiiforums.com/technol...ree-huawei-modem-unlocking-codes-request.html
 
Once the connection manager software (Join Air) is installed follow the steps below.

  1. Select Settings
  2. Select Connection > Add > Add RAS Config
  3. ‘Config name' enter any name e.g. Vodafone Profile
  4. ‘Dial Number' *99#
  5. Select ‘Use the following APN name'
  6. then enter internet
  7. User Name: ''no need
  8. Password: 'no need
  9. Click Save
  10. Highlight the profile you want to use and click Apply
  11. Close the settings window
  12. now connect

mkuu kama nataka kuhamia line nyingine hapo kwenye settings kunabadilika kitu gani? apart from profile name

baada ya kuweka hizo settings huna haja ya kubadilisha chochote,kwa line za vodacom na airtel,tigo na zantel sina uhakika kwasababu sijawahi kujaribu,so yoyote mwenye ujuzi atuambie!
 
Samahani mkuu..
Hizi setting zina intersect pia kwa modem ya HUAWEI - Zantel internet?

Tafazali usichoke kusaidia... natumai hutonipuuza kujibu mapema..

hutaweza kwasababu hiyo software ni ya ZTE,so inauwezo wa kusoma modem za ZTE tu,za huawei haiwezi and modem zinazotolewa na zantel zimetengenezwa na HUAWEI na co ZTE!!!
 
Kuna thread inazungumzia namna ya kuchakachua modem za tigo hiyp ina-apply kwa modem zote mie nimechakachua za tigo, airtel na voda with the same program and it worked. kuna program ya universal code writer and universal master code zinafanya vzr tafuta hapahapa hiyo thread ina maelekezo ya kutosha
 
unaweza kutupa link za kupata hizo program?
 
Kwanini uchakachue,nenda Tigo modem bei pooa Tsh 30,000 tu na mambo yanakuwa Mswano,ingawa Tigo haina speed kubwa kama Zantel lakini inajitahidi na nimeipenda haina usumbufu kama wa Zantel wa eti sijui upige simu kwa wiki kwa kununua muda wa maongezi wa 5000.Kuanzia nimenunua modem ya Tigo ,Zantel nimeipeleka jumba la Makumbusho

mkuu naungana na wewe, mie nilikuwa mpenzi mkubwa sana wa Zantel, na kila mwezi walikuwa na uhakika wa kupata tshs 40,000/= toka kwangu, sasa toka waanzishe huu utaratibu wao wa 5000/= before wameniboa sana, nimeshaitupa Modem yao kabatini. Vipi gharama ya vifurushi kwa Tigo ikoje? maana higgh life weeky bundle ya Zantel ilikuwa tshs 10,000/= unapata 2GB
 
Back
Top Bottom