Aisee hiyo ni hatari awahi hospital au awasiliane na daktari, J. pili hali kama hiyo ilitokea kwa mtu alikuwa anasikia maumivu kidogo chini ya kitovu, damu ikatoka kidogo ikaacha, j. tatu akaona tena mchana, usiku tumbo likaongeza maumivu na ikatoka damu ya kutosha, kenda hospital akaambiwa imetoka ilikuwa na miezi 3. Hicho ni kiashiria cha hatari.
kaka are u a doctor? management ya threatened abortion ni kuinduce?? aisee, re-check your books(if u are a doctor/medical student),if you are not a doctor, usipende kuchangia mambo usiyoyajua.90% iyo ni threten abortion (mimba inayo tishia kutoka) kwa ushauri wa haraka hara akapge x-ray ili kuthibitisha kama ni kweli hamna jinsi zaidi ya abortion ili ku prevent further bleed..!!! Na ukisha thbitisha ni yenye kama utaona uvivyo kwenda kwa dr waweza mpatia MISOPROSTAL gm 250&METRONIDAZOLE hzo zita saidia ku abort it in simple way..!!
Ofcoz first managment ya threten abortion syo kuinduce..!! That is why nika tangulia kwaku mwambia aganye ultrasound scan 2 check either a baby is alive or not. Kama stili yuko alive you must give her progesterone hormone support naku rest..!!kaka are u a doctor? management ya threatened abortion ni kuinduce?? aisee, re-check your books(if u are a doctor/medical student),if you are not a doctor, usipende kuchangia mambo usiyoyajua.
Ofcoz first managment ya threten abortion syo kuinduce..!! That is why nika tangulia kwaku mwambia aganye ultrasound scan 2 check either a baby is alive or not. Kama stili yuko alive you must give her progesterone hormone support naku rest..!!
Juzi mchana ameanza kuona damu kama zinabeep ilitoka mara moja ikatoka tena jana hasubuhi. Je inawezeka mimba imeharibika??
Pia anasikia maumivu ya makali ya kiuno, tumbo pamoja na matiti kumuuma. Huyu ni dada ambaye yupo bed rest mwenye ujauzito wa miezi mitatu. Naombeni majibu kwa wenye uelewa.
Cc MziziMkavu