Msaada wa kueleweshwa, Je hii mimba itaweza kuwa imeharibika?

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,239
Juzi mchana ameanza kuona damu kama zinabeep ilitoka mara moja ikatoka tena jana hasubuhi. Je inawezeka mimba imeharibika??

Pia anasikia maumivu ya makali ya kiuno, tumbo pamoja na matiti kumuuma. Huyu ni dada ambaye yupo bed rest mwenye ujauzito wa miezi mitatu. Naombeni majibu kwa wenye uelewa.

Cc MziziMkavu
 
Aisee hiyo ni hatari awahi hospital au awasiliane na daktari, J. pili hali kama hiyo ilitokea kwa mtu alikuwa anasikia maumivu kidogo chini ya kitovu, damu ikatoka kidogo ikaacha, j. tatu akaona tena mchana, usiku tumbo likaongeza maumivu na ikatoka damu ya kutosha, kenda hospital akaambiwa imetoka ilikuwa na miezi 3. Hicho ni kiashiria cha hatari.
 
Asante kwa majibu yako
 
Awahi hospitali kwa uchunguzi zaidi. Hiyo ni mojawapo ya dalili za hatari kwa mama mjamzito.
 
90% iyo ni threten abortion (mimba inayo tishia kutoka) kwa ushauri wa haraka hara akapge x-ray ili kuthibitisha kama ni kweli hamna jinsi zaidi ya abortion ili ku prevent further bleed..!!! Na ukisha thbitisha ni yenye kama utaona uvivyo kwenda kwa dr waweza mpatia MISOPROSTAL gm 250&METRONIDAZOLE hzo zita saidia ku abort it in simple way..!!
 
kaka are u a doctor? management ya threatened abortion ni kuinduce?? aisee, re-check your books(if u are a doctor/medical student),if you are not a doctor, usipende kuchangia mambo usiyoyajua.
 
Ofcoz first managment ya threten abortion syo kuinduce..!! That is why nika tangulia kwaku mwambia aganye ultrasound scan 2 check either a baby is alive or not. Kama stili yuko alive you must give her progesterone hormone support naku rest..!!
 
Induction is not even the last management of threatened abortion!!! Its not even in the options of management of threatened abortion!!!
 
Juzi mchana ameanza kuona damu kama zinabeep ilitoka mara moja ikatoka tena jana hasubuhi. Je inawezeka mimba imeharibika??

Pia anasikia maumivu ya makali ya kiuno, tumbo pamoja na matiti kumuuma. Huyu ni dada ambaye yupo bed rest mwenye ujauzito wa miezi mitatu. Naombeni majibu kwa wenye uelewa.

Cc MziziMkavu

wahi hospital,mimi imentokea hvyohvyo mwshowe ikaharbika kabisa nkasafishwa tuu...
 
Back
Top Bottom