Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina shaka mko salama wanajamii. Tafadhali naomba kufahamishwa ada za kozi za muda mrefu VETA kwa mwenye uelewa, najaribu kupitia tovuti yao sipati taarifa za kutosha.
Natanguliza shukrani zangu.
Ada ni laki moja na sitini kwa mwaka zikiwemo na uniform humo humo.
yaani suruali 2 na tshirt 2.
hiyo ni kwa bording.
ila kupata nafasi mkuu; ni kwa NEEMA.
kwani wanaoomba ni wengi na wooote wana vigezo.
mashine zinachagua.
hakuna cha mtoto wa mjomba.
mwaka wa pili wanatoa laki na thelathini na nne.