Msaada wa kufahamishwa kiwango cha ada za veta.

Msaada wa kufahamishwa kiwango cha ada za veta.

HOYANGA

Senior Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
187
Reaction score
26
Sina shaka mko salama wanajamii. Tafadhali naomba kufahamishwa ada za kozi za muda mrefu VETA kwa mwenye uelewa, najaribu kupitia tovuti yao sipati taarifa za kutosha.
Natanguliza shukrani zangu.
 
Muhimu sana hii, njooni mtujuze kwa mjuao
 
Sina shaka mko salama wanajamii. Tafadhali naomba kufahamishwa ada za kozi za muda mrefu VETA kwa mwenye uelewa, najaribu kupitia tovuti yao sipati taarifa za kutosha.
Natanguliza shukrani zangu.

Ada ni laki moja na sitini kwa mwaka zikiwemo na uniform humo humo.
yaani suruali 2 na tshirt 2.
hiyo ni kwa bording.
ila kupata nafasi mkuu; ni kwa NEEMA.
kwani wanaoomba ni wengi na wooote wana vigezo.
mashine zinachagua.
hakuna cha mtoto wa mjomba.
mwaka wa pili wanatoa laki na thelathini na nne.
 
Dah ngoja nami nijiunge na veta tu maana ada ni raisi muno japo nafasi zinachagua mashine maana kusomea fakati nyingi ni kujiwekea hazina kichwani na hivyo byo vipo wapi wakuu?
 
Nashukuru ndugu SALAMA SALIMINI kwa maelezo mazuri sana.
 
Ada ni laki moja na sitini kwa mwaka zikiwemo na uniform humo humo.
yaani suruali 2 na tshirt 2.
hiyo ni kwa bording.
ila kupata nafasi mkuu; ni kwa NEEMA.
kwani wanaoomba ni wengi na wooote wana vigezo.
mashine zinachagua.
hakuna cha mtoto wa mjomba.
mwaka wa pili wanatoa laki na thelathini na nne.

shukrani sana, tumefaidika wengi.
 
Back
Top Bottom