Msaada wa kufanya matiti kusimama

Naboti

Senior Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
189
Reaction score
48
Jamani mi nina shida moja ambayo ningeomba wanajamvi wenzangu kama kuna mwenye ufahamu anisaidie
nina mtoto mmoja ambaye ana umri wa miaka minne now, matiti yangu ni madogo kiasi ila mwonekano wa matiti yangu kwa sasa tokea nijifungue yamekuwa yakitofautiana kwa size.
Moja likiwa limelegea na lingine likiwa liko imara kama lilivyokuwa kabla sijazaa, sasa huu mwonekano wa matiti yangu haunifurahishi kabisa ningeomba mwenye kujua nini cha kufanya au kama kuna dawa ya kutumia nitumie ili angalau maziwa yangu yawe level moja yote yasimame mi sipendi maziwa yaliyolala.
Asanteni kwa ushauri
 
Only cosmetic surgery can help you.

NB: Nenda kwa daktari akuchunguze, maana matiti kuwa size tofauri hasa nipple kuwa level tofauti inaweza isiwe dalili nzuri.
 
Mbona umeshukuru kabla hauja pewa ushauri?
Dada unakumbuka kilicho kuwa kina wapata walio kuwa wanatumia dawa za kichina kuongeza makalio??

Ukiweza kuyapiga jeki hayo matiti yata simama tu.

Watakuja watalaam waku shauri. Mafanikio mema.
 
ni rahis kulilaza hilo lililosimama kuliko kulisimamisha hilo lililolala...
 
Ungelilaza na hilo jingine yawe level in rahisi.


ulikosea wakati wa kunyonyesha ulinyonyesha sana titi 1 likanywea ulitakiwa unyonyeshe sawa kwa sawa akinyonya dakika 20 huku unamgeuzia huku hivyohivyo hadi yote yaiahe.

mtoto wa pili yamaintain yakae sawa maana maziwa yanavyozalishwa ndo ukubwa wa matiti unaongezeka
 

nicheck inbox +255653660669
 
Mbona simple tuu dada angu, zaa mtoto mwingine alafu uwe unamnyonyesa sana hilo lililosimama, yatakuwa level kama barabara ya lami
 
unataka yasimame yana Miguu lakini?
 
Yaskupe shida sana kila kitu kina wakat wake na wakat wa matiti yako kusimama ndo unaelekea ukingoni namaanisha ushapita hivyo kwa badilika kubaliana na iyo Hali dadaa.
 
MMM mwanikatisha tamaawadau jamani si mnipe suluhisho la kusimama kwa matiti yangu jamani?
 
Mmh hilo lililolala inaelekea ndo analolishambulia sana dogo hivyo badili ayatumie yote kwa uwiano sawa,kama hajaacha kunyonya lakini.
 

Hee,mabwaku!!!
 
Mbona simple tuu dada angu, zaa mtoto mwingine alafu uwe unamnyonyesa sana hilo lililosimama, yatakuwa level kama barabara ya lami

...au baba wa mtoto anaweza saidia kunyonya hilo lililo simama Ili nalo lilale
 
Ila kimsingi maziwa yakilala huwa hayavutii ingawa umri ukifika hakuna namna.Pia huwa inaendana na ukoo hasa kwa mama mzazi.Kuna bimkubwa ana miaka 55 mtaani kwetu ana matiti mazuri sana hayatepeta wa kuanguka na bado yanavutia.Vijana ambao ni wajukuu huwa wanamtania kuwa bado binti akawa anasema kuwa imechangiwa na kusadifu kwa mama yake pia hajawahi kuvaa sidiria anasema zinaharibu matiti.Kwa zaidi MziziMkavu njoo utoe tiba na mawasiliano kwa shida hii.
 
Last edited by a moderator:
Mbona simple tuu dada angu, zaa mtoto mwingine alafu uwe unamnyonyesa sana hilo lililosimama, yatakuwa level kama barabara ya lami

Hii lugha sijui kama inajenga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…