Msaada wa kufanya matiti kusimama

Msaada wa kufanya matiti kusimama

sasa mtu kama anataka kwenda kinyume na mipango ya mungu ulitaka nimshauri vipi??

Mi nafikiri nia yake ilikuwa njema tu. Kabla ya kupata mtoto maziwa yake yalikuwa yanafanana kwa kila namna lakini baada kupata mtoto hiyo tofauti imejitokeza.
Ni sawa tu na mtu anayeomba ushauri wa namna ya kupunguza kitambi.
Sidhani hata we kama utafurahi kuona maziwa yako yameofautiana kimuonekano.
Ni hayo tu.
 
Sawa baba,chagua mji
 
Jamani, wewe yakilala au kuamka yanakudhuru nini; hiyo yamelala au kusimama waachie wanamume!!
 
Mazoezi kuepuka kula mafuta sana kama kiti moto coz ukinenepa hapo utasababisha tatizo kukuwa na pia kuepuka kuacha matiti yakining'inia
 
Back
Top Bottom