yasimamishe kwa kutumia jack ya gari
sasa mtu kama anataka kwenda kinyume na mipango ya mungu ulitaka nimshauri vipi??Na wewe unatoa ushauri wa namna hii ? :?
sasa mtu kama anataka kwenda kinyume na mipango ya mungu ulitaka nimshauri vipi??
Sawa baba,chagua mjiMi nafikiri nia yake ilikuwa njema tu. Kabla ya kupata mtoto maziwa yake yalikuwa yanafanana kwa kila namna lakini baada kupata mtoto hiyo tofauti imejitokeza.
Ni sawa tu na mtu anayeomba ushauri wa namna ya kupunguza kitambi.
Sidhani hata we kama utafurahi kuona maziwa yako yameofautiana kimuonekano.
Ni hayo tu.