Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu nina mashine ya kusaga mahindi, imepaki tu! Siwezi kuifunga hapa Dar, sina eneo na mtaji. Niko tayari kwa mkataba wa ushirikiano! Iwe maeneo ya Dar au karibu
ina horse power ngapi na ni kusaga tu au na kukoboa inatumia mota moja kwa kazi zote mbili auWakuu nina mashine ya kusaga mahindi, imepaki tu! Siwezi kuifunga hapa Dar, sina eneo na mtaji. Niko tayari kwa mkataba wa ushirikiano! Iwe maeneo ya Dar au karibu
ina horse power ngapi na ni kusaga tu au na kukoboa inatumia mota moja kwa kazi zote mbili au
motor ina 27 h.p. Vinu tofauti na imara saana siyo SIDO wala za kichina! Any idea Hugo?
mkuu fanya biashara kwanza ,15hp times 2 30hp .1motor =27hp times 2 =54hp????
rpm yake per minutes ikoje ujue kiasi cha umeme kinachotumikamkuu hiyo motor inatosha saaana hata kwa kazi ya usiku na mchana! It can run it all. Consider 1h.p =746 watts