Msaada wa kufunga Mashine ya kusaga mahindi Dar

mdunya

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2012
Posts
759
Reaction score
128
Wakuu nina mashine ya kusaga mahindi, imepaki tu! Siwezi kuifunga hapa Dar, sina eneo na mtaji. Niko tayari kwa mkataba wa ushirikiano! Iwe maeneo ya Dar au karibu
 
mkuu tuwasiliane

ina horse power ngapi na ni kusaga tu au na kukoboa inatumia mota moja kwa kazi zote mbili au
 
motor ina 27 h.p. Vinu tofauti na imara saana siyo SIDO wala za kichina! Any idea Hugo?
 
mkuu fanya biashara kwanza ,15hp times 2 30hp .1motor =27hp times 2 =54hp????

mkuu hiyo motor inatosha saaana hata kwa kazi ya usiku na mchana! It can run it all. Consider 1h.p =746 Watts
 
naomba tufanye biashara,kama unataka kuuza ni pm.
 
Back
Top Bottom