Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
Sitaki kukupinga ila kwa kazi ulizo ziweka hapo ni kama tour operator nazani ni vyema ukafungua tour operator ambapo ndani yake uwe na kitengo cha travel agency manake kiuhalisia travel agent yeye ni kama mtu wa kati ana nunua bidhaa toka kwa mzalishaji ambaye anaweza akawa hoteli ya kitalii, tour guide etc.... arafu anaenda uza kwa final consumer au tourist... na analipwa commission ila hana ruksa ya kuongoza watalii kupeleka kwenye vivutio ukiona wana fanya hivyo kuna mawili au laah wana tour operator ndani ya kampuni yao au wana fanya kimakosa wana pindisha sheria ni mtazamo tuu
Ninataka kufungua Travel Agent kampani ambayo itakuwa inahusika na kufanyia watu booking za airticket, booking za hotel, kukodi magari pamoja na safari kuandaa trip mbali mbali kama kwenda Arusha, Zanziba nk
Ningependa kufahamu:
1. Ni jinsi gani naweza kuwa travel agent wa ndege za hapa nchini, kama fastjet, precision air pamoja na ndege ndogo ndogo? na mkataba wao upoje unapata asilimia ngapi ya ticket?
2. Kwa ndege za nje ya nchi pia utaratibu upoje, kama KLM, Quartar, Turkish, fly emirates nk?
3. Kwenye hotels pia utaratibu upoje?
4. Je, kuna vigezo vyovyote kuhusiana na mtaji? kwamba lazima kampuni yako we na mtaji kiasi fulani?
4. Biashara hii ina changamoto zipi?
Shukrani kwenu wadau.
Emirates, sio fly emirates.Ningependa kufahamu:
1. Ni jinsi gani naweza kuwa travel agent wa ndege za hapa nchini, kama fastjet, precision air pamoja na ndege ndogo ndogo? na mkataba wao upoje unapata asilimia ngapi ya ticket?
2. Kwa ndege za nje ya nchi pia utaratibu upoje, kama KLM, Quartar, Turkish, fly emirates nk?
3. Kwenye hotels pia utaratibu upoje?
4. Je, kuna vigezo vyovyote kuhusiana na mtaji? kwamba lazima kampuni yako we na mtaji kiasi fulani?
4. Biashara hii ina changamoto zipi?
Shukrani kwenu wadau.
Ndivyo binadamu tulivyo, hubadilika kutokana na mazingira. Ukinikuta MMU si sawa na ukinikuta business forumKumbe supu ya mawe kuna muda una hakili timamu na wakati mwingine zinaruka
hata hilo nililosema linahusiana na topic husika, huwezi kufungua travel services halafu huwezi kuandika majina ya ndege za Emirates wala Qatar. Ndio maana Wakenya wanatushinda kwenye nyanja ya utalii kwa vitu vidogo vidogo vidooooo.....Asante Kwameh , unalolote kuhusiana na topic husika?