Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
Ninataka kufungua Travel Agent kampani ambayo itakuwa inahusika na kufanyia watu booking za airticket, booking za hotel, kukodi magari pamoja na safari kuandaa trip mbali mbali kama kwenda Arusha, Zanziba nk
Ningependa kufahamu:
1. Ni jinsi gani naweza kuwa travel agent wa ndege za hapa nchini, kama fastjet, precision air pamoja na ndege ndogo ndogo? na mkataba wao upoje unapata asilimia ngapi ya ticket?
2. Kwa ndege za nje ya nchi pia utaratibu upoje, kama KLM, Quartar, Turkish, fly emirates nk?
3. Kwenye hotels pia utaratibu upoje?
4. Je, kuna vigezo vyovyote kuhusiana na mtaji? kwamba lazima kampuni yako we na mtaji kiasi fulani?
4. Biashara hii ina changamoto zipi?
Shukrani kwenu wadau.