Msaada wa kuhusu choice ya university course

Msaada wa kuhusu choice ya university course

king kan

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Posts
1,639
Reaction score
2,066
Naomba msaada wenu wana jamiiforums kuhusu Bsc. in Land Management and Valuation na Bsc. in Building Surveying.
Pamoja na kwamba kuna tatizo la ajira Tanzania lakini nilitaka msaada wenu wana jamvi ipi kati ya hizo course mbili ina soko katika labour market na nani ni key employers wa graduates katika fani hizo?
Pia msaada kuhusu kupersue university degree kati ya Bongo na Rwanda ni wapi pana elimu inayokidhi international standards na ni nchi elimu yao ni confident katika labour market.
 
Kama unaqualify kusoma bcom ya udsm kaisome.achana na hzo makitu zingne.
 
Fwata moyo bro,,ila zote ni quality!!
 
Back
Top Bottom