Msaada wa kujua kama mimba aliyopata mwanamke kama ni yangu au sio yangu

yeye anaxema 2livokutana kesho yake ndo akaona cku zake kwamfano leo 2mekutana alafu kesho ndo akaona cku zake

Kwa maelezo hayo nakudanganya huyo, hakuna mimba inayo tengenezwa wakati yai na endometrium zimetoka (bleeding)

Mwambie akajipange upya, atambue mwenye nayo ni nani, kama vp mkapime ultrasound ni 20000 tu kama upo Mwananyamala.
 
acha niwadokezee huyu mzungu pori ni kijana wa kule facebook n.k hivyo achaneni nae ni kijana mdogo asiwasumbue.ameandika tu ili nae awe na thread.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…