DZUDZUKU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 3,909
- 2,115
yeye anaxema 2livokutana kesho yake ndo akaona cku zake kwamfano leo 2mekutana alafu kesho ndo akaona cku zake
Kwa maelezo hayo nakudanganya huyo, hakuna mimba inayo tengenezwa wakati yai na endometrium zimetoka (bleeding)
Mwambie akajipange upya, atambue mwenye nayo ni nani, kama vp mkapime ultrasound ni 20000 tu kama upo Mwananyamala.