Binadamu tunatofautianaDuh! 2 times na bado anaogopa kuendesha?
HahahaYaan Mara 2 , hajajua na bado ana uoga ?π§π§π§
Kwahiyo hadi Driving school anataka aende boarding?.
πππ umenikumbusha mbali sana, mm wangu nimemfundisha mwenyewe .Hizi auto wengine tulianza kwa kuambiwa maana ya D,d1, p na r!
Chuo ni muhimu kwa Sheria tu, lkn Sheria zote zipo online.
Huyo muoga atakuwa mkeo, wape vijana wamfundishe.
Ukimfundisha wewe utaambulia kumzaba makofi na mkaanza kununiana tu