...lipo mtaa wa uhuru, ukiwa karibu Na barabara ya kuelekea Liberty au NBC au ukifika Igand college ulizia watakuelekeza, Ni muda Sana since I have there.
ILA kwa ushauri maana pale unaweza kosa baadhi ya vitabu, cha msingi search kwenye internet au uingie kwenye website ya bunge, Kuna sheria zote.
PIA Kama huna knowledge ya sheria mtafute mtu angalau mwenye shahada akusaidie, maana hivyo vitabu vinaweza visikusaidie kabisa maana Kuna legal terms Na lazma ujue maana yake.
shukrani sana mkuu ntaenda kupatafva. kuhusu msaada wa kisheria kwa mtaalam,hilo nimeshalifanya na mtaalam wangu yuko njiani anakuja ili akaangalie hapo dukani kama atapata nondo atakazohitaji.. nashukuru by the way
Nenda Mahakamani Mkuu
Duka La Serikali Wanauza Bidhaa tu