Msaada wa kujua lilipo duka la serikali jijini Mwanza

kidi kudi

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
2,450
Reaction score
2,013
Wadau nakaribia kudhulumiwa haki yangu,nahitaji kupekua pekua baadhi ya sheria ili nijue napambanaje. tafadhali naomba anaejua duka hilo lilipo hapa mwanza mjini anielekeze nikimbie hapo mahali fasta. natanguliza shukrani zangu kwenu,asanteni
 
...lipo mtaa wa uhuru, ukiwa karibu Na barabara ya kuelekea Liberty au NBC au ukifika Igand college ulizia watakuelekeza, Ni muda Sana since I have there.

ILA kwa ushauri maana pale unaweza kosa baadhi ya vitabu, cha msingi search kwenye internet au uingie kwenye website ya bunge, Kuna sheria zote.

PIA Kama huna knowledge ya sheria mtafute mtu angalau mwenye shahada akusaidie, maana hivyo vitabu vinaweza visikusaidie kabisa maana Kuna legal terms Na lazma ujue maana yake.
 
shukrani sana mkuu ntaenda kupatafva. kuhusu msaada wa kisheria kwa mtaalam,hilo nimeshalifanya na mtaalam wangu yuko njiani anakuja ili akaangalie hapo dukani kama atapata nondo atakazohitaji.. nashukuru by the way
 
Nenda Mahakamani Mkuu
Duka La Serikali Wanauza Bidhaa tu
 
Nenda Mahakamani Mkuu
Duka La Serikali Wanauza Bidhaa tu

be serious mkuu! kwahiyo huko dukani sitapata hizo 'bidhaa' nnazozitaka mimi? na huko mahakamani kuna mahali specific wanapoziuza?
 
shukrani sana mkuu ntaenda kupatafva. kuhusu msaada wa kisheria kwa mtaalam,hilo nimeshalifanya na mtaalam wangu yuko njiani anakuja ili akaangalie hapo dukani kama atapata nondo atakazohitaji.. nashukuru by the way

Karibu Sana mkuu
 
Back
Top Bottom