Msaada wa kujua soko la mbao aina ya mninga dar es salaam na kwingineko

Msaada wa kujua soko la mbao aina ya mninga dar es salaam na kwingineko

Joined
Jul 19, 2013
Posts
38
Reaction score
21
Kwa yeyote mwenye uzoefu na biashara hii, kama anaweza kuwasiliana na mimi kwa nambari 0712 464 666 sio mbaya.
Napenda kujua aina ya mninga inauzwaje dar es salaam kwa bei ya jumla ili ikiwezekana nilete mzigo hapo dar au mahala kwingine kwokote.
 
Ingesaidia kama wewe ungetuambia estimates za mbao zako size yake na gharama ya kuifikisha Dar itakuchukua kiasi gani (kwa mbao moja). Kwa sababu wewe utakuwa ndio kwanza unaanza, obvious unatakiwa uwe na bei ya chini kidogo ili kujenga soko au ikibidi hata uwe unauza kwa jumla. Na bei tutakazokupa sisi wengine ni zile tulizonunua kwa dalali a dalali au na juu humohumo. Binafsi nazihitaji hizi mbao sema size na bei yako ya kuifikisha Dar tuongee na wana jf wengine wafaidike
 
Nipigie 0762525846 mm najua soko mm mwenyewe nauza mbao za dawa za kupaulia nyumba ( trusted )
 
Kama kuna mnunuzi wa mbao za mninga size 2x10x10 tufahamishane,niambie kuwa unazihitaji nami nitakuachia kwa bei ya jumla..Huwa nazileta dar es salaam kila mwezi. Nijulishe unahitaji ngapi na kama kuna size nyingine unahitaji nijulishe pia na zitaandaliwa kwa ajili yako
 
Back
Top Bottom