Ingesaidia kama wewe ungetuambia estimates za mbao zako size yake na gharama ya kuifikisha Dar itakuchukua kiasi gani (kwa mbao moja). Kwa sababu wewe utakuwa ndio kwanza unaanza, obvious unatakiwa uwe na bei ya chini kidogo ili kujenga soko au ikibidi hata uwe unauza kwa jumla. Na bei tutakazokupa sisi wengine ni zile tulizonunua kwa dalali a dalali au na juu humohumo. Binafsi nazihitaji hizi mbao sema size na bei yako ya kuifikisha Dar tuongee na wana jf wengine wafaidike