Msaada wa kujuzwa shule nzuri

Msaada wa kujuzwa shule nzuri

kidele

Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
37
Reaction score
6
tafadhali sana wanandugu wa jf naomben msaada wenu wa kujuzwa shule ya secondary ambayo iko vizuri kimasoma na pia ada yake poa bila kujali mkoa ilipo
 
Elohim boys,iko tanga,iko vizuri na discipline nzuri kwa mtoto
 
Back
Top Bottom