Msaada wa kumpata archeologist

Msaada wa kumpata archeologist

masanda

New Member
Joined
Jan 9, 2025
Posts
1
Reaction score
0
Habarini.
Nina hitaji mtu yeyote anayeoma archeology hasa UDSM au chuo kingine.

Pia kama unamjua mwalimu anayefundisha somo hilo pia naomba mawasiliano yake.

Sababu ni kwamba nina mabaki ya mnyama (sijajua kama ni binadamu au la) ambayo niliyapata chini ya ardhi umbali wa futi 80 nilipokuwa ninachinba kisima.

Hivyo nahitaji kushirikiana nao ili kufanya utafiti zaidi.
 
Back
Top Bottom