Msaada wa kumpata mtu aliyenitapeli

Msaada wa kumpata mtu aliyenitapeli

Hivi wewe unajua hadi sasa nimeshamsaidia kwa kiasi gani? Wengine hatujui kujishaua kama nyie vibwengo wa mapangoni.

Better yet, kipi bora kati ya kumtia moyo na kumkatisha tamaa? Don't tell me that words do not matter. Shame on you! Usipite pale mtaani kwetu leo because lazima nikuzomee hadi ukose nguvu ya kwenda job kesho. Mshamba nini?
Kwanza kibwengo ni mama yako mzazi aliyekuzalia guest house jinga wahed.

Pili victim hajakuomba umtie moyo wakati yeye ameshapata hasara unataka kumtia shimoni zaidi ili aendelee kupata hasara zaidi khanisi mkubwa weee.
 
Habari wakuu pia poleni kwa majukumu na migangaiko ya kila siku.

Dhumuni la kuleta uzi huu ni kwamba siku ya juzi Jumapili, niliweza kutapeliwa pesa na mtu ambaye nilikutana naye kwa ajili ya biashara ndipo aliweza kunitapeli karibu laki 5 taslim, kwa sura huyo mtu namfahamu na ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kukutana naye na kuna number alitumia kunitafuta ambayo iliweza kupatikana hiyo juzi na jana ila leo haipatikani, kesi ya huyo mtu iko central police

SWALI JE.
Huyo mtu anaweza kupatikana kwa kupitia hiyo namba ya simu kana kwamba juzi na jana ilikuwa hewani ila leo haipatikani?

Nimefuatilia Polisi wamesema wako kwenye utaratibu wa kufuatilia hiyo number. Na kuna gharama za kutoa kwenye ishu kama hiyo .

Swali je?

KUNA ALIYEWAI KUMPATA MTU AMA MTUHUMIWA WAKE KWA KUPITIA NUMBER YA SIMU?

MWENYE experience naomba aweze kunieleza kama alifanikiwa na ilikuwaje?
Ongea na Mshana Jr issue yako kwisha kabisa
 
Back
Top Bottom