Msaada wa kuniangalizia majina

Baraka A Mwansele, anatoka WIZA na anakwenda BIHAWANA CBG

Bahati mbaya jina la USHINDI SANGA sijaliona lakini kuna wakina USHINDI kama wa tano hivi unaweza ukatupa taarifa zake kamili kama shule aliyosoma na namba yake ya mtihani tukusaidie mdogo wetu.
 
Kama alivyoweka hapo juu, ila huyo Ushi haonekani! Jitahidi kuweka details za kutosha.
 
je LUKA ZAKAYO ???? yeye alisoma karangai Sec
 
Naomba mniangalizie Issiaka yasini na Ramadhan shabani wametoka mkalamo namba ya shule ni s1369.
 
Naomba mniangalizie Issiaka yasini na Ramadhan shabani wametoka mkalamo namba ya shule ni s1369.


ISSIAKA YASINI anakwenda LUGOBA PCM, Ramadhan Shabani NYERERE (MWANGA) HGK.

Kila la kheri wadogo zetu mkasome kwa bidii.
 
Naomba mniangalizie KELVIN LAZARO CHINJA kasomea ngongongare
 
Naomba mni angalizie Japhet Daud Masalu kamaliza Azania msaada wenu wakuu
 
Msaada jamani hellena m sailas kwenye selection za chuo.msaada tafadhari.sangu secondary nimesoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…