Msaada wa kuniangalizia majina

Msaada wa kuniangalizia majina

ISSIAKA YASINI anakwenda LUGOBA PCM, Ramadhan Shabani NYERERE (MWANGA) HGK.

Kila la kheri wadogo zetu mkasome kwa bidii.

Mkuu kama hautojali ningependa uniangalizie ABUBAKARI .H. MEZA, Ametoka Tumbi sec s.1088/0070, natanguliza shukrani kwako mkuu.
 
Mkuu kama hautojali ningependa uniangalizie ABUBAKARI .H. MEZA, Ametoka Tumbi sec s.1088/0070, natanguliza shukrani kwako mkuu.

Mkuu nimeambatanisha list ya wanafunzi wote waliochaguliwa kwenda form five hapo juu hebu jaribu kucheki.
 
Niangalizie jina la Safina Nyiwala anatokea Kalobe Sekondari.
Huyu ni Mwenyekiti mstaafu wa juzi wa CHIPUKIZI Wilaya ya Mbeya Mjini.
 
Back
Top Bottom