Mnyamwezi wa Urambo
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 928
- 275
Msaada jamani hellena m sailas kwenye selection za chuo.msaada tafadhari.sangu secondary nimesoma
ISSIAKA YASINI anakwenda LUGOBA PCM, Ramadhan Shabani NYERERE (MWANGA) HGK.
Kila la kheri wadogo zetu mkasome kwa bidii.
Mkuu kama hautojali ningependa uniangalizie ABUBAKARI .H. MEZA, Ametoka Tumbi sec s.1088/0070, natanguliza shukrani kwako mkuu.
Amechaguliwa MWAKALELI HGE
Niangalizie jina la Safina Nyiwala anatokea Kalobe Sekondari.
Huyu ni Mwenyekiti mstaafu wa juzi wa CHIPUKIZI Wilaya ya Mbeya Mjini.