J JAK Member Joined Apr 23, 2012 Posts 92 Reaction score 20 Aug 7, 2014 #1 Nilikisikia hivi karibuni kinaitwa Chuo kikuu cha Bagamoyo, makao yake makuu yako Mikocheni (Dar es Salaam). Nataka kufika ofisini kwao, niko Mwenge maeneo ya ITV, nimewauliza madereva wa Pikipiki na Bajaji hawapajui.
Nilikisikia hivi karibuni kinaitwa Chuo kikuu cha Bagamoyo, makao yake makuu yako Mikocheni (Dar es Salaam). Nataka kufika ofisini kwao, niko Mwenge maeneo ya ITV, nimewauliza madereva wa Pikipiki na Bajaji hawapajui.
bonna JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 855 Reaction score 519 Aug 7, 2014 #2 Mkuu aisee mi sijui ila natafuta chuo cha muziki hapa dar...vipi/ hapo makao makuu mikocheni,ni ofisi tu au kuna classes.
Mkuu aisee mi sijui ila natafuta chuo cha muziki hapa dar...vipi/ hapo makao makuu mikocheni,ni ofisi tu au kuna classes.
J JAK Member Joined Apr 23, 2012 Posts 92 Reaction score 20 Aug 7, 2014 Thread starter #3 bonna said: Mkuu aisee mi sijui ila natafuta chuo cha muziki hapa dar...vipi/ hapo makao makuu mikocheni,ni ofisi tu au kuna classes. Click to expand... Sina huakika kama kuna madarasa au la.
bonna said: Mkuu aisee mi sijui ila natafuta chuo cha muziki hapa dar...vipi/ hapo makao makuu mikocheni,ni ofisi tu au kuna classes. Click to expand... Sina huakika kama kuna madarasa au la.