Msaada wa kunielekeza ntakavyofika makoa makuu ya chuo kikuu cha Bagamoyo

Msaada wa kunielekeza ntakavyofika makoa makuu ya chuo kikuu cha Bagamoyo

JAK

Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
92
Reaction score
20
Nilikisikia hivi karibuni kinaitwa Chuo kikuu cha Bagamoyo, makao yake makuu yako Mikocheni (Dar es Salaam). Nataka kufika ofisini kwao, niko Mwenge maeneo ya ITV, nimewauliza madereva wa Pikipiki na Bajaji hawapajui.
 
Mkuu aisee mi sijui ila natafuta chuo cha muziki hapa dar...vipi/ hapo makao makuu mikocheni,ni ofisi tu au kuna classes.
 
Mkuu aisee mi sijui ila natafuta chuo cha muziki hapa dar...vipi/ hapo makao makuu mikocheni,ni ofisi tu au kuna classes.
Sina huakika kama kuna madarasa au la.
 
Back
Top Bottom