Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Yap nimeikagua gari nzuri ila zipo nzuri zaidi ya hiyo wao wanakutumia gari iliyokaa muda mrefu yard ili itoke angalia XT hii harafu mwaka mmoja na hiyo zote 2019 na bei sawa utachukua ipi..Nzuri sana
Karibu sana Morning Joy MotorsHabari zenu,
Naomba msaada kwa mtu anayefahamu jinsi ya kuagiza gari nje, gari ndogo aina ya Ist, nimeulizia kwa makampuni ninayoyafahamu naona bei hazipishani na yard japo wanasema bei imepanda(17-18m)
Briefly, rafkiangu anataka kuagiza gari (mwenyewe)aina hiyo kupunguza gharama, bila kutumia kampuni za ndani, sijajua kwanini kafikiria hii ndio njia nzuri, ila kumsaidia zaidi nimeona nililete humu!
Wenye ujuzi karibuni!
ni bora atembelee showroom za magari town, kuliko aagize aletewe chuma chakavu.Kaka uyu mgeni. IST haina haja kuagiza atapata nzuri tu town