Msaada wa kuondoa maumivu ya meno na fizi

Msaada wa kuondoa maumivu ya meno na fizi

monotheist

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
887
Reaction score
1,596
Ninasumbuliwa na maumivu makali ya meno na fizi ila sina jino lolote lililotoboka wala kukatika maumivu hasa muda wa usiku nashindwa kulala ni makali mno maumivu yanaenda hadi kichani na kweye midomo ya juu na chini kama nimepakwa pilipili

Je hili tatizo linatibika kwa dawa gani msaada wa mawazo tafadhali
 
Pole, bacteria huacha mayai kwenye meno . Dawa za hospital huua bacteria na mgonjwa kupata nafuu. Mayai yakijiengua , mashambulizi ya bacteria hurudi upya.
Tafuta mimea anti- bacteria kama msokonoi, kigelia Africana na tumeric. Tuwasiliane kwa 0713 039 875
 
Back
Top Bottom