Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaan cyo utani sasa mm kina nichanganya nipo chuo harafu mishe hakuna nilikuwa nategemea kuuza vitu USED hasa hv jamaa alikuwa ananiuzia ana matatzo daaah nipo hoiPesa ngumu wee isikie tu hakuna kitu rahisi kama huku online ni kujilisha upepo tu. Labda ujifunze utapeli wa mtandaoni.
Ngoja tuwasubiri.
Pesa ngumu wee isikie tu hakuna kitu rahisi kama huku online ni kujilisha upepo tu. Labda ujifunze utapeli wa mtandaoni.
Ngoja tuwasubiri.
Acha tu jamanMie nawasomaga hao wenye biashara za online weee...ukweli ubongo wangu ushaniambia oya wewe huku hufai[emoji124][emoji124]