Msaada wa kuongeza kipato

Msaada wa kuongeza kipato

Pesa ngumu wee isikie tu hakuna kitu rahisi kama huku online ni kujilisha upepo tu. Labda ujifunze utapeli wa mtandaoni.
Ngoja tuwasubiri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaan cyo utani sasa mm kina nichanganya nipo chuo harafu mishe hakuna nilikuwa nategemea kuuza vitu USED hasa hv jamaa alikuwa ananiuzia ana matatzo daaah nipo hoi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom