Mkuu ushafungua aris account?Sawa usijali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ushafungua aris account?Sawa usijali
I don't know if it's possible kufungua hiyo account bila registration number.Wakuu aliefanikiwa kufungua account ya aris 3.0 anielekeze mi nakwama kwenye profile information??
Yah kweli naona bado tukifika kwenye orientation watatulezea namna ya kufungua hiyo accountI don't know if it's possible kufungua hiyo account bila registration number.
I don't know if it's possible kufungua hiyo account bila registration number.
We umefanikiwa kutengeneza account kwani?Mbona ni rahisi sana,unatumia reg number ambayo ipo kwenye admission letter
Samahan chief , kwenye admission letter yangu Mimi sioni reg number.Mbona ni rahisi sana,unatumia reg number ambayo ipo kwenye admission letter
Samahan chief , kwenye admission letter yangu Mimi sioni reg number.
Okay shukran sana chief
Mkuu kufungua aris 3 account umeweza ?
Nmeweza but smthng is not adding upMkuu kufungua aris 3 account umeweza ?
Mi nimeshindwa kabisa sehem ya kuandika registration no na majina yangu inagomaNmeweza but smthng is not adding up
Hpn , Mimi sikuomba kabisa.Mkuu vp umeshapata boom!!?
Sema ukishindwa so mbaya tukifika kule tutapata utaratibu nzuri I think.Mi nimeshindwa kabisa sehem ya kuandika registration no na majina yangu inagoma
Apo kwenye reg no first,middle,last ndo panazinguaSema ukishindwa so mbaya tukifika kule tutapata utaratibu nzuri I think.
Type registration number firstApo kwenye reg no first,middle,last ndo panazinguaView attachment 2791267
OkayType registration number first
Nimetype lakin shida haitaki kuingia kwenye kile kibox Cha reg no i dont know why bro?Type registration number first
Itakua mtandao mana reg number ikiwa right itakuletea mpaka majinaNimetype lakin shida haitaki kuingia kwenye kile kibox Cha reg no i dont know why bro?
Du au labda browser nibadilisheItakua mtandao mana reg number ikiwa right itakuletea mpaka majina