HACHOKI TALEMWA
Member
- Mar 4, 2013
- 93
- 9
Ndugu wana JF,,
Naomba kupata msaada wenu kuhusu vyuo vya serikali vinavyotoa diproma ya afya(Crinical Officer) hapa Tanzania.Kuhusu ufahulu wangu nilimaliza form six mwaka jana nina div (ii) ya 12 nilichaguliwa UDSM kusoma Education ila sikuweza kwenda kwani niliona hiyo fan hainifahi nikaamua nitulie mtaani nisubilie niweze kupata ile kitu roho inapenda.....kuhusu kuapply mwaka nina mpango mda ukifika kujarib bahati ya Doctor of Medicine...NSAADA WENU JAMAN:A S thumbs_up:

....jaribu na MATC-Tanga

Dah lugha ya kiswahili umeivunjavunja!!!!
Mtumish SUA vipi, we si ulisema uko SUA.
mkuu nilisoma CBGmbona kuna jamaa namfahamu yuko pale KCMC anachukua MD na alikuwa na div.three kama ulichukua PCB two unapata vyuo vingi tu Bugando,KCMC,ST.John nk,au unataka vyuo vya serikali tu.
Ungetaja hata chuo kimoja cha serikali mkuu!!!!Anataka kozi ya Clinical Officer (Diploma in Clinical Medicine) naona wadau wanamshauri aende Muhas, KCMC, Bugando; hiyo kozi kwenye hivyo vyuo hakuna jamani, hivyo ni vinatoa degree siyo diploma, mtendeeni haki mtoa mada. Mi nadhani kwa kozi hiyo unatuma maombi wizara ya afya halafu wao wanakupangia ktk moja ya vyuo vyao, vipo vingi tu
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Ungetaja hata chuo kimoja cha serikali mkuu!!!!
Uamuz mzur xana kwa afya jarib muhas wako vizur sana
Andika vizuri nyambafu!