Mr_Teacher
JF-Expert Member
- Feb 28, 2021
- 362
- 343
kuna vyuo kibao na naona wanatoa distance learning, check hawa jamaa Cavendish University Uganda, International University of East Africa, na au Victoria UniversityHabari za muda huu ndugu zangu,
Ngoja niende kwenye point natafuta mtu mwenye connection ya kupata vyuo Uganda au hata mashirika ya kusaidia kupata chuo huko. Mfano niliongeaga na education link ila wao waliniambia wanasaidia kutafuta chuo nje ya E. AFRICA ila ndani ya E. Africa wao hawawezi.
Naombeni msaada wa kupata shirika au hata mtu atayeweza nisaidia kupata chuo Uganda.
Asante sanaa
Mm mwenyewe na piga misur sema ndio hvyo tuKule coz za afya zinaushindani mkubwa kama hapa kwetu so ujipange sio oya oya kama unavyozan
Mkuu kama unaenda kusoma kozi ambazo ukimaliza ili ufanye kazi vizuri tanzania ni lazima usajiriwe na bodi husika na kupewa leseni namaanisha kozi hasa za afya kozi kama medicine, pharmacy nk. Ni lazima upitie TCU wakupe kitu kinaitwa NO OBJECTION CERTIFICATE (noc certificate) ili ukimaliza na kurudi tz degree yako itambuliwe na kusajiriwa na bodi husika ya fani uliosomea kwa ajili ya leseni kwani hawatafanya hivyo bila degree yako kuwa-recognized na TCU sababu umesoma nje ya nchi.Coz matokeo yangu siyo mazuri na two ya 12 A LEVEL PCB KWA Phy S CHEM C BIOS C na hisi umenielewa mkuu
Hapo nimekupata je kwa mfano nikapokea degree yangu na nikaenda fanya kaz nje ya nchi inakuwaje hapoMkuu kama unaenda kusoma kozi ambazo ukimaliza ili ufanye kazi vizuri tanzania ni lazima usajiriwe na bodi husika na kupewa leseni namaanisha kozi hasa za afya kozi kama medicine, pharmacy nk. Ni lazima upitie TCU wakupe kitu kinaitwa NO OBJECTION CERTIFICATE (noc certificate) ili ukimaliza na kurudi tz degree yako itambuliwe na kusajiriwa na bodi husika ya fani uliosomea kwa ajili ya leseni kwani hawatafanya hivyo bila degree yako kuwa-recognized na TCU sababu umesoma nje ya nchi.
Na ili hao TCU wakupe NOC CERTIFICATE ni lazima uwe umemeet minimum qualifications za kusoma kozi husika otherwise hawakupi.
So kuwa makini usije jikuta umefanya kazi bure na kupoteza muda na pesa bure.
Hapo nafikiri haitakuwa na shida kwa upande wa tanzania, sababu kila nchi inataratibu zake mkuu.Hapo nimekupata je kwa mfano nikapokea degree yangu na nikaenda fanya kaz nje ya nchi inakuwaje hapo
Nawe pia salamu sana nduguNakusalimu 👋
sio kada ya Afya tu, na sio sisi Tanzania tu, Ukisoma nje ya nchi yako unaporud lazima Vyeti vyako vikaguliwe na kuthibitishwa na Mamlaka husika kuwa hiyo Elimu iko sawa na ya nchi husika.Mkuu kama unaenda kusoma kozi ambazo ukimaliza ili ufanye kazi vizuri tanzania ni lazima usajiriwe na bodi husika na kupewa leseni namaanisha kozi hasa za afya kozi kama medicine, pharmacy nk. Ni lazima upitie TCU wakupe kitu kinaitwa NO OBJECTION CERTIFICATE (noc certificate) ili ukimaliza na kurudi tz degree yako itambuliwe na kusajiriwa na bodi husika ya fani uliosomea kwa ajili ya leseni kwani hawatafanya hivyo bila degree yako kuwa-recognized na TCU sababu umesoma nje ya nchi.
Na ili hao TCU wakupe NOC CERTIFICATE ni lazima uwe umemeet minimum qualifications za kusoma kozi husika otherwise hawakupi.
So kuwa makini usije jikuta umefanya kazi bure na kupoteza muda na pesa bure.
Mkuu kama unaenda kusoma kozi ambazo ukimaliza ili ufanye kazi vizuri tanzania ni lazima usajiriwe na bodi husika na kupewa leseni namaanisha kozi hasa za afya kozi kama medicine, pharmacy nk. Ni lazima upitie TCU wakupe kitu kinaitwa NO OBJECTION CERTIFICATE (noc certificate) ili ukimaliza na kurudi tz degree yako itambuliwe na kusajiriwa na bodi husika ya fani uliosomea kwa ajili ya leseni kwani hawatafanya hivyo bila degree yako kuwa-recognized na TCU sababu umesoma nje ya nchi.
Na ili hao TCU wakupe NOC CERTIFICATE ni lazima uwe umemeet minimum qualifications za kusoma kozi husika otherwise hawakupi.
So kuwa makini usije jikuta umefanya kazi bure na kupoteza muda na pesa bure.
Ndio ninachokijua mimi mkuu.Mkuu kwahiyo inamaanisha unapotaka kwenda kusoma inabidi upate NOC CERTIFICATE na unaporudi baada ya kumaliza masomo itabidi pia ufanye utaratibu wa FOREIGN AWARDS ASSESSMENT..au imekaaje?
Hii mpya kusikia, procedure ya kuipata hiyo noc ikoje mkuu wangu.Mkuu kama unaenda kusoma kozi ambazo ukimaliza ili ufanye kazi vizuri tanzania ni lazima usajiriwe na bodi husika na kupewa leseni namaanisha kozi hasa za afya kozi kama medicine, pharmacy nk. Ni lazima upitie TCU wakupe kitu kinaitwa NO OBJECTION CERTIFICATE (noc certificate) ili ukimaliza na kurudi tz degree yako itambuliwe na kusajiriwa na bodi husika ya fani uliosomea kwa ajili ya leseni kwani hawatafanya hivyo bila degree yako kuwa-recognized na TCU sababu umesoma nje ya nchi.
Na ili hao TCU wakupe NOC CERTIFICATE ni lazima uwe umemeet minimum qualifications za kusoma kozi husika otherwise hawakupi.
So kuwa makini usije jikuta umefanya kazi bure na kupoteza muda na pesa bure.
Ingia website ya TCU sehemu imeandikwa "admissions matters" the kuna kipengele kimeandikwa "No objection certificate" fungua humo kuna kila kitu.Hii mpya kusikia, procedure ya kuipata hiyo noc ikoje mkuu wangu.
Mkuu hivi kwa mfano nikasoma university of East Africa kwa online/distance learning,je naweza kutumia cheti hicho huku nchini kwetu kuaply na kupata kazi?kuna vyuo kibao na naona wanatoa distance learning, check hawa jamaa Cavendish University Uganda, International University of East Africa, na au Victoria University
ndio kwa sababu hicho chuo kinatambulika na mamlaka husika huko Uganda hivyo ukimaliza unafanya award evaluationa pale TCU unaendelea na maisha kama kawaida tu. all the best kakaMkuu hivi kwa mfano nikasoma university of East Africa kwa online/distance learning,je naweza kutumia cheti hicho huku nchini kwetu kuaply na kupata kazi?
Asante sana mkuu,ubarikiwendio kwa sababu hicho chuo kinatambulika na mamlaka husika huko Uganda hivyo ukimaliza unafanya award evaluationa pale TCU unaendelea na maisha kama kawaida tu. all the best kaka