Jicholamwewe
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 375
- 465
Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale.wakuu yeyote ambaye ana mwangaza wowote au connection za kwenda nje hata kuzamia kutafuta life naomba anisaidie sababu na ndoto ya kutafuta life katika nchi za Europe, USA,Canada. Kama utaguswa kunisaidia nitashukuru sana.Nina miaka 24 nimesomea maabara ya viwanda nimeishia certificate.Nina passport. Asanteni sana