Jicholamwewe
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 375
- 465
Asante sana mkuuNenda CLUBHOUSE kutana na diasporas wapo wengi watakupa connection
Asante. Unahisi mtaa huo utanisaidia?USA Kuna mtaa unaitwa Zombies....dawa kulevya sana....sijaenda naona you tube
Nawaza ukienda nje huko usije ishia hukoAsante. Unahisi mtaa huo utanisaidia?
Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale.wakuu yeyote ambaye ana mwangaza wowote au connection za kwenda nje hata kuzamia kutafuta life naomba anisaidie sababu na ndoto ya kutafuta life katika nchi za Europe, USA,Canada. Kama utaguswa kunisaidia nitashukuru sana.Nina miaka 24 nimesomea maabara ya viwanda nimeishia certificate.Nina passport. Asanteni sana
Mkuu kwahiyo unamaanisha naota?Mimi nilizamia USA mwaka 2003, Nikapambana sana pale New York ila tatizo asubuhi ikawa inafika na nikastuka usingizini.
Shukurani kwa ushauli mzrNawaza ukienda nje huko usije ishia huko