Msaada wa kupata control number kwenye kujisajili loans board (helsb) 2021/22

28October

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2020
Posts
285
Reaction score
363
Ndugu zangu mwenye kujua anisaidie maana mimi najaribu ila sipati control number kwaajili ya kufanya malipo, tangu asubuhi mpaka usiku huu.
 
Hakuna ujanja mwingine wowote mkuu ni mpaka wao wenyewe warekebishe system yao ndo control number zitakubali mimi mwenyewe tangu wafungue nahangaika na control number hadi leo sijafanikiwa
Cha ajabu wamekaa kimya sijui kwanini hawarekebishi
 
duh nikajua ni kwangu tu mkuu, kumbe ni kwa wote maana mpaka nikahisi labda ni mtandao ni shida
 
Currently no connection to GePG please try again later.....

IMG_1497.jpg

Bado
 
Hakuna ujanja mwingine wowote mkuu ni mpaka wao wenyewe warekebishe system yao ndo control number zitakubali mimi mwenyewe tangu wafungue nahangaika na control number hadi leo sijafanikiwa
Cha ajabu wamekaa kimya sijui kwanini hawarekebishi
nilifanikiwa kupata control number jana usiku nikalipa via vodacom, cha ajabu voda wamerudisha meseji kuwa malipo yamepokelewa lakini kwenye mfumo wao HAKUNA DETECTION YOYOTE. NAENDELEA KUSUBIRI.
 
pole sana mkuu, ila mimi tangu wamefungua system yao sijafanikiwa kabisa kupata izo control number kabisa
 
Hata mimi nimepata control number jana saa 10 nikalipia muda huo huo hadi sasa hivi iko hapa kila niki Re-load inaload tuuu muda wote
20210712_152032.jpg
 
Back
Top Bottom