The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Kama upo Dar au unaweza kufika Dar, kamwone Dr. Shadiq anapatikana Agakhan HospitalHabari wadau.
Naomba kufahamu hospitalini ambayo ina wataalam wa magonjwa ya kina mama ama gynaecologist mzuri kwa hapa Dar es Salaam.
Mpenzi wangu ana tatizo la maumivu wakati wa ngono, hii inatupatia shida kidogo maana tunakua hatufurahii ngono vile inavyotakiwa.
Naomba msaada wa kujua wanapatikana wapi ama specialized clinics ambazo tunaweza kupata huduma.
Natanguliza shukrani.
Nje ya Agha khan, hospitali nyingine.Kama upo Dar au unaweza kufika Dar, kamwone Dr. Shadiq anapatikana Agakhan Hospital
Habari wadau.
Naomba kufahamu hospitalini ambayo ina wataalam wa magonjwa ya kina mama ama gynaecologist mzuri kwa hapa Dar es Salaam.
Mpenzi wangu ana tatizo la maumivu wakati wa ngono, hii inatupatia shida kidogo maana tunakua hatufurahii ngono vile inavyotakiwa.
Naomba msaada wa kujua wanapatikana wapi ama specialized clinics ambazo tunaweza kupata huduma.
Natanguliza shukrani.
Fika hospitali ya TMJ au RabbinisiaNje ya Agha khan, hospitali nyingine.
Agha khani gharama zake ziko juu sana mkuu kwangu kumudu.
Mkuu sasa tunafanyaje kama mtu anahisi maumivu makali?Mkuu maumivi wakati wa tendo la ndoa nayo unataka huenda kwa Gynaecologist au ushajua chanzo chake?
Are you sure sio Psychological?
Uke mkavu au?
Tumbo linauma na anatoa uchafu ukeni!
Nakushauri uonane na General Practitioner ambae atakupa Proper channeling ya specialist gani umuone!
Kuna madaktari wazuri?Fika hospitali ya TMJ au Rabbinisia
Ndio, haswa hapo Rabininsia Memorial hospital. Hao TMj labda ile ya Mikocheni, wale wa Keko michosho tuKuna madaktari wazuri?
Sawa mkuu. Nashukuru sana.Ndio, haswa hapo Rabininsia Memorial hospital. Hao TMj labda ile ya Mikocheni, wale wa Keko michosho tu
Dr. Shafiq yupo Msasani Penisula, si Aga Khan hospitali kwa sasa.Kama upo Dar au unaweza kufika Dar, kamwone Dr. Shadiq anapatikana Agakhan Hospital
Hospitali gani?Dr. Shafiq yupo Msasani Penisula, si Aga Khan hospitali kwa sasa.
Hospitali gani?
Alishatoka huko yupo anapatikana Msasani peninsula hospital full time ni professor yule yupo vizur na ni mchangamfu sana, pale msasani kituo cha Coca cola ukipanda gari za masaki ashukie hapo!!Kama upo Dar au unaweza kufika Dar, kamwone Dr. Shadiq anapatikana Agakhan Hospital
Anaita wagonjwa wake kwa majina...Alishatoka huko yupo anapatikana Msasani peninsula hospital full time ni professor yule yupo vizur na ni mchangamfu sana, pale msasani kituo cha Coca cola ukipanda gari za masaki ashukie hapo!!
naweza nikampa namba zake akihitaji akapata appointment na kujua utaratibu! Dr shafik kila wiki naonana naeAnaita wagonjwa wake kwa majina...
Habari mkuu. Kwa sasa Dr. Shafik yuko wapi?naweza nikampa namba zake akihitaji akapata appointment na kujua utaratibu! Dr shafik kila wiki naonana nae
Ana Polyclinic yake nadhani ipo hapo posta..ngoja nikutafutie mawasiliano yake.Habari mkuu. Kwa sasa Dr. Shafik yuko wapi?