Msaada wa kupata gynaecologist

Msaada wa kupata gynaecologist

muone gyno mbulumi(kairuki na hosp ya udsm)
Kash rabinsia
mwagaza kibaha, temeke na tmj
hosp ya lugalo (nzuri pia)
ila kwa tatizo la. mwenza wako aende hosp yeye mwenyewe awe free kumweleza dr. ,, huenda ww ndio tatizo kubwa kwake hivyo hisia zake tu akishakuwa kwenye tendo anachowaza maumivu
Hilo nalo neno...
Au katolewa bk juzi juzi? Nayo pia inaletaga hofu sana...na kama jamaa hajui kubembeleza na hamuandai vzr walai..inakua kama horror movie...
 
Back
Top Bottom