Msaada wa kupata habari za ligi yetu

Msaada wa kupata habari za ligi yetu

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Wakuu, kwanza nianze kusema mie ni Mkristu Mkatoliki wa Roma na jana ilikuwa Ijumaa Kuu.

Samahani kwa utangulizi huu kwani jana palikuwa na mechi ya ligi yetu saa kumi jioni wakati Wakristu Wakatoliki wakiwa katika ibada.

Najaribu kutafuta matokeo mpaka sasa sijayapata hata humu vilevile. Nimesikitishwa na bodi ya ligi kupanga mechi wakati huo.
 
Ingia Instagram Wana ukurasa wao unaitwa ligikuu
 
Ingia Play [emoji3495] store andika live ball utapata updates zote
 
Back
Top Bottom