Msaada wa kupata kazi nimesomea mazingira

Habari,
Mimi ni kijana Nina miaka 24, Nina degree ya Sanaa ya geografia na mazingira, nipo zanzibar.
Mwenye connection ya ajira ya kada hio tafadhali.
Aisee sikukatishi tamaa kuna kozi zengine naona zinaitaji kufutwa sababu hakuna ajira ya kukupa na ikiwepo ni bahati
 
Habari,
Mimi ni kijana Nina miaka 24, Nina degree ya Sanaa ya geografia na mazingira, nipo zanzibar.
Mwenye connection ya ajira ya kada hio tafadhali.
ushauri wangu wewe bado mdogo sana miaka 24 nenda kajazie nyama koz za safety...kwenye site au projecty unaezakupata kaz afu coz zenyewe kama sijakosea ni za week mbil au tatu tu
 
Shukran, naomba website zao hao wanaotoa hizo course tafadhali
 
Habari,

Mimi ni kijana Nina miaka 24, Nina degree ya Sanaa ya geografia na mazingira, nipo Zanzibar.

Mwenye connection ya ajira ya kada hio tafadhali.
ni vile mnaishi nchi za ukimani bara la giza. ungekua huku dunia niliyopo kazi chap.

nimefuatilia maandiko yako japo machache unaonekana uko smart kichwani. wa umri kama wako wengi vilaza.
 
Yaani umesomea kozi ambayo inakufanya uwe na uwezo mkubwa wa kufikiri bado unaomba kuajiriwa, anzisha NGOs ,upige pesa dogo
Sio rahisi kuanzisha NGOs kaka angu, nimevolunteer sana na nimeona sio rahisi
 
ni vile mnaishi nchi za ukimani bara la giza. ungekua huku dunia niliyopo kazi chap.

nimefuatilia maandiko yako japo machache unaonekana uko smart kichwani. wa umri kama wako wengi vilaza.
Kaka angu upo Dunia gani 😁
 
Back
Top Bottom