Habari wana JF mimi ni binti wa miaka 24 natafuta kazi ya aina yoyote ile nitafanya iwe tu halali.
Elimu yangu nimemaliza chuo mwaka jana kozi ya ualimu kwa masomo ya kiingereza yaani literature na linguistic UDSM.
Lakini nitafanya kazi yoyote itakayopatikana naombeni msaada wenu tusaidiane connection jamani[emoji120][emoji120][emoji3590]