Kuna office walikua wanahtaji secretary wa kike, Lakn kama kawaida yako unavonifanyiaga cku zote!!!! nakupigia smu hupokei, ukipokea unasema ww sie mwenye simu au unampa mdogo ako niongee nae na sms hujibu.
Kwa jins unavonifanyia najikuta kukumbuka wimbo wa Psquare kuna verse anasema "YOU REJECTED MY LOVE BCOZ A WAS BROOOKE" though sijawah kukutamkia kwamba nakupenda but I know you already know,
Life will never be the same, Amini leo unaniona hapa kazini nafanya kazi ya hovyo na sometimes unaniona kama looser fulani hivi. lakn sitoifanya cku zote. Haya n mapito tu!!! Life has got ups&downs.
Amini siku ile umenikataza nisije kukuona iliniumuza sana but thats life.
Ok...I wish u all the best.