Pipilomomo
Senior Member
- Feb 24, 2023
- 113
- 194
Toa namba yako hapo. Mwenye msaada wasilianeni PM...Habari humu ndani!.Mimi ni mwanamke miaka 29,elimu yangu form four.Natokea dar es salaam(goba).Nilikuwa na uhitaji wa kazi hasa shuleni ninauzoefu nayo,hasa kulea watoto na usafi.Kama kuna mtu ana connection pleas naomba anisaidie.
Mawasiliano:
Uzoefu ninao wa mwaka mmoja,ndio nina mtotoToa namba yako hapo. Mwenye msaada wasilianeni PM...
Je uzoefu unao wa muda gani? Unalea watoto! Wewe una familia/watoto?
we mwenyew umemquote no yake bado ipo labda ufanye kudelete hiyo reply yakoToa namba yako hapo. Mwenye msaada wasilianeni PM...
Je uzoefu unao wa muda gani? Unalea watoto! Wewe una familia/watoto?
Na mimi nakuquote wewe ili kusisitiza adelete comment yake yenye namba ya mleta mada.we mwenyew umemquote no yake bado ipo labda ufanye kudelete hiyo reply yako
na asikie Mhandisi MzalendoNa mimi nakuquote wewe ili kusisitiza adelete comment yake yenye namba ya mleta mada.
Unafaa kua mshauri wangu wa masuala ya kiuchumi.kila lenye kheri ila wakati unatafuta kazi ukipata nafasi jifunze na upishi wa vitafunio plus keki, ujuzi huo utakusaidia kwa hao watoto au hata kwa wafanyakazi wenzio na baadae unaweza kujifungulia ka restaurant kazuri sana
kipaji ninacho kwa mbaali, bado uthubutu,, ukinihitaji mi nipo karibu sana😇Unafaa kua mshauri wangu wa masuala ya kiuchumi.
Poa nitakucheki kwa ile namba yako,kipaji ninacho kwa mbaali, bado uthubutu,, ukinihitaji mi nipo karibu sana😇
hapan sijabadili😄Poa nitakucheki kwa ile namba yako,
Au ulibadili namba?
Jirani huyu win-one hanipi ushirikiano wa kutosha,Kila la heri kwenye utafutaji wako Mungu akufanyie wepesi!
😆😂Poa nitakucheki kwa ile namba yako,
Au ulibadili namba?